:bowl:yupo kanisani:bowl:
ANAPOKEA MAAGIZO KUTOKA KWA PENGO NAMNA YA KULIPA FADHILA ZA KANISA ALIZOPEWAKATIKA KAMPENI,
kisha ataenda UK kutoa ripoti kwa wafadhili
:hippie:mpoooo!:hippie:
Nadhani umepungukiwa vitu vingi (sina uhakika):
1. Busara,
2. Hekima,
3. Heshima,
4. Elimu,
5. nk
Hupaswi kuleta udini hapa. Huyu ni mtu wa kuheshimiwa na wa Tanzania wote, wenye dini na wasio nazo, wa CHADEMA, CCM, TLP, nk. Hata hivyo, naomba nikusamehe kwa sababu akili za watu zimegawanyika ktk makundi manne:
1. Wenye akili ndogo: Kazi yao kujadili mambo ya watu, mfano fulani kala dagaa jana, fulani ana suruali moja, nk.
2. Wenye akili za kawaida (za kati): Hawa hupoteza muda wao kujadili matukio; fulani kampiga jana fulani; fulani mchawi sana, nk
3. Wenye akili za juu: Hawa hujadili FIKRA (IDEAS): Wanaweza kuisaidia jamii kwa kuishirikisha mawazo yao.
4.Wenye akili za juu sana kama kina Nyerere, Yesu, Isaac Newton (nadhani na Mtume): Hawa huwa wanajadili IDEAS lakini IDEAS zao zipo juu sana kiasi kwamba wanapata shida hata kuwashirikisha wengine mawazo yao. Mara nyingi huonekana hawana akili wakati wa uhai wao. Wakifa ndo tunaanza, Oo kumbe, ooo ningejua...TOOO LATE: Naamini Slaa anaingia kundi hili na hupaswi kumpuuza kwa kigezo chochote. Hata kama angeshindwa kuwa RAIS, this is is the person who has shown a GREAT LOVE TO ALL, INCLUDING YOURSELF AND MYSELF.