Elections 2010 Slaa yuko wapi?

Ni bora ukaua Jemedari mmoja kuliko kuua wabeba mizigo 100 .Askari mmoja wa Israel akitekwa Palestina wanaskuachiliwa wafungwa wake 100 ili askari mmoja aliyetekwa apatiwe uhuru. Nodo maana uchumi wa Tanzania unategea Mji wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya ,Nenda TRA ulizia Je msingi wa mapato uya nchi unatokana na nini.
We e vipi ? unauliza yuko wapi. Kazi aliyofanya uioni. Kwa sasa ni kuangalia matokeo na baada ya hapo ni kuona jambo gani la kuongea. Maana watu makini ufanya kazi bila kukurupuka. Kazi imesha fanyika. Kila mtu amefarijika sana maana Unapimwa kwa ubora wa matokeo siyo wingi. Huu ni mwanzo kukamato miji ya Tanzania ndo ubora next ni huko huko. Mtu wa mafanikio endelevu ni pale utakapo anza project kwa sehemu ndogo na p[ole p[ole ukakamilisha baada ya kuweka misingi imara.Linganisha kaanzia Karatu kaweka msingi imara sasa kapanuka kaingiza mabingwa Bungeni kama yeye imekuwa hivyo je wapampanaji wote alio pata itakuwaje. Angalia mtaji alio tumia na matokeo mtaji mdogo faida kubwa sana. Siyo kuwekeza mtaji mkubwa faida kidogo mwish wake unafunga duka. Mtu akifilisiki ni pale duka lake linapo anza kuishiwa bidhaa na asiweze kurudishia mwisho wa safari ni kufunga duka . Mtu mwelevu na shupavu anaanza na kiberiti baada ya miaka mitano nafungua supermarket. Subiri uone msingi ambao amejenga tayari plani imeisha kamilika sasa amemaliza msing miaka mitano ataauzia bidhaa zake zote kwenye supermarket. Kama nakuombea uishi maisha marefu uje uone ninayo kwambia.
 
Mamanalia wewe ni wale wale wachumia tumbo kama huwezi kuona kazi ya DR Slaa basio hata pepo mbinguni nakuhakikishia huwezi kuiona maana unaonyesha una tabia za kifisadi na kula rushwa unadanganywa na vijumba na vigari used ulivyo navyo. Unaangaikia tumbo ndo maada akili yago ni ile ya mgando. Tutakuombea maana Bwana wetu Yesu Kristo alisema mna macho lakini amuoni.
 


Umefafanua vizuri!
Sasa nenda hatua moja mbele linganisha maendeleo ya mikoa iliyoenda kwa CCM na iliyoenda upinzani, utajua CCM ni chama cha aina gani na kinatakiwa kuongoza mikoa ya aina gani.

All CITIES to opposition, je unaelewa maana yake?

Just thinking Aloud!
 

thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…