Slave Trade: Was it a real trade?

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
4,107
Reaction score
4,612
Let;s discuss about it. Nakuomba mwana JamiiForums utoe maoni yako; je hii ilikuwa biashara?

Kama ilikuwa bishara, nani aliyekuwa anawauza hao watumwa?

Je, njia za upatikanaji watumwa mfano, kidnapping, Ambush, na ulaghai hiyo ni biashara?

historians je tukiulizwa how many African waliosafirishwa first kwenda EUROPE tutajibuje?

Je, ni kwa ujumla watumwa wangapi waliopelekwa Ulaya?

Naomba kuelewa kuhusu hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa ni biashara. Wahusika wakuu walikuwa wazazi na machifu. Baadae wanunuzi walipoona ni baishara inayolipa wakawa wanawachukua kwa nguvu kwa kuiwateka au kuwavamia. Nimeona nianzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…