Slaven Bilic akalia kuti kavu

Slaven Bilic akalia kuti kavu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya timu anayoifundisha ya Westharm kunyukwa bao 3 kavu na Brighton & Hove Albion .

Uvumilivu una mwisho , si rahisi tena kwa uongozi wa wagonga nyundo hao wa London kumvumilia .

Kwaheri ya kuonana .
 
Kweli kuti kavu maana timu zina mzuka sana wa kuondosha makocha na hata hivyo mwenendo wa wagonga nyundo umekuwa zaidi ya kuchechemea.
 
Back
Top Bottom