"Slay Queens"

Attainer Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
433
Reaction score
790
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike.

Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
 
Mambo yao waachieni wenyewe...

Huna cha kuwasaidia ndiyo maisha waliyochagua...

Cc: mahondaw
 
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike.

Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
samahan kwani slay qeen ni mtu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…