Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Swali wakuu wa vitengo hapa jamii forums
Baada ya Simba kuleta slogani ya waimba taarabu ya ubaya ubwela Yanga wakaleta slogan ya kiupambanaji ya "GUSA ACHIA TWENDE KWAO"
Sasa Jana nilikua club Moja hapa L.a ( Los Angels USA) nilikua nimekaa na mzungu tukiwa tunacheki mechi akavutiwa na soka la Yanga ....ndipo akauliza "Yanga wanacheza aina Gani ya soka" ndipo nikashindwa kujibu Kwa kiingereza ingawa Kwa kiswahili ni GUSA ACHIA TWENDE KWAO
Swali
"Je GUSA ACHIA TWENDE" Kwa kiingereza inaitwaje????