Klorokwini full kuchakachua.....
Naunga mkono.... hainogi kabisaaaa..... labda mimi niwe ADK.... Unaonaje, inakuja?
hii dawa mmhh
kwenye idara ya kuchagua
majina ya wachanga tunaiondoa
mmmhhh
hutaki Mahelent hahahah lol???
haya bwana ntakuachi hilo lol
Bahati yake Klorokwini kenda kulala, nilikua namaanisha mupenzi Sweetie - siwezi tumia bila ruhusa...lol...
Hiyo Kazi klorokwini haiwezi, naona irudi tu mkononi kwako... Naenda kwenye PM kwa ajili ya ile kitu unidadafulie...
Nimekumbuka meseji moja hizi za kuforwadiana. SIna kumbukumbu nzuri ningeweza ku itrace ningeweka humu ila nadhani wengi msha iona. Kuna baba tajiri nadhani ni mdhungu ambaye ni lawyer alianza mahusiano na secretary wake. Baba kanogewa kaamua kumpa divorce wife. Akamwandikia cheki ya ela kibao mkewe akakataa ile ela. Akamwambia siwezi kukulazimisha tuishi wote ila nachoomba unipe muda wa miezi miwili (kama nakumbuka) kabla hatuja finalize divorce. Ndani ya hiyo miezi miwili uwe unanibeba kunipeleka ninaposubila gari ya kazini (ni mbele ya nyumba yao). Yule mzee akasema hilo tu,hamna shida. Akaenda na kumsimulia mkewe mtarajiwa (secretari wake) wacha mdada acheke. Akasema mkeo amechanganyikiwa, wewe mbebe tu miezi miwili si mingi.
Yule baba akaanza kibarua cha kumbeba wife daily. Walikuwa na mtoto nadhani ni kama 10 year. Mtoto akawa anawashangilia na kuimba zile nyimbo za harusi huku anawafuta nyuma mpaka baba amshushe mama, then baba na mtoto wanaingia kwenye gari ya baba ya kifahari anapelekwa shule na baba anaenda zake kazini, mama anasubili basi la kazini.
Yule baba muda ulivyozidi kwenda akaanza kufeel mapenzi yanarudi kwa mkewe. Kuchunguza akagundua mkewe amepungua sana uzito. Unajua wadhungu hawapendi wanawake wanene. Sasa sababu moja wapo iliyomfanya aanze kucheat ni kuwa mkewe aliongezeka sana. Basi siku ya mwisho ya zoezi la kumbeba mkewe ilipofika, yule baba akaenda ofisini secretari kama kawaida kamkimbilia kumpa makisi. Baba kamwambia stop, nimesitisha mpango wa kumwacha wife naomba unisamehe kwa kukupotezea muda. Dada kakasirika kafunga mlango kwa nguvu. Baba kapita dukani kanunu very expensive zawadi kumpelekea mkewe na kuomba msamaha.
Kufika home kakuta mkewe kafa. Kumbe mkewe alikuwa na kansa na alijua in two months atakuwa amekufa na alitaka afe akiwa mke wa huyo jamaa. Kusoma ujumbe alioandika wife wacha jamaa achanganyikiwe.
This is among forwarded mails that I real liked
Thanks AD... Nguvu ya kubaki hapa hata mimi imeisha.... NK kanimaliza kabisa na post yake....
HATA MIMI HIYO STORI naipenda sana
yaani inamfunzo sana ...
ngoja ntakutafutia hiyo poster
imo humu humu ndani nilisha isoma..
inasikitisha sana yaanii
ni wapi huko AD?hahahahahha lol
dahhh ni uchovu tu
nafikiri unatufanya tuwaze hivyo
mmmhhhh.. sasa hivi unaweza kuingia kule
ambako watoto hawawezi ingia ?? waweza kuni PM jibu
asante bibi mzuri...
A girl and guy were speeding over 100 mph on a motorcycle)
Girl: Slow down. Im scared.
Guy: No this is fun.
Girl: No its not. Please, its too scary!
Guy: Then tell me you love me.
Girl: Fine, I love you. Slow down!
Guy: Now give me a BIG hug. (Girl hugs him)
Guy: Can you take my helmet off and put it on? Its bugging me.
Girl: Okay. Now please slow down!
In the paper the next day: A motorcycle had crashed into a building
because of break failure. Two people were on the motorcycle, but only one survived.
The truth was that halfway down the road, the guy realized that his breaks broke, but he didn't want to let the girl know. Instead, he had her say she loved him, felt her hug one last time, then had her wear his helmet so she would live even though it meant he would die.