Small brother

Small brother

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nasikia Kaka yetu Yule mwenye haiba ya kukejeli mastaa pindi tu scandal yeyote inapowakumba na kugeuza utani kwenye page yake , ameanza kuota mapembe kisa anatoka kimapenzi na mwanaume mwenzie ambaye ni manager mwenye pesa ndefu wa hotel moja maarufu iliyopo mjini.

Chanzo cha kuaminika kinasema, Toka star huyo awe na mahusiano na mkuu huyo kwenye hiyo hotel , amekua akijitawala hotelin hapo ambapo mara kwa Mara huenda hotelin apo mda mwingine akiwa na marafiki zake wakienda kula bata , na kuwafokea baadhi ya wafanyakaz wa hapo.

Star huyo mwenye muonekano wa kujazia, mrefu na mwenye matege kiasi, amekua kero kwenye hotel hyo , Kwan Mara kwa Mara amekua akienda ku record vipind kwenye hotel hyo ya danga lake.

Mnyetishaji wa ubuyu amesema c star huyo tu ambaye anamfanya mchezo mchafu , bali wapo mastar kibao ambao hufanya nao mchezo mchafu na kuwalaghai pesa vijana Hao wenye Tamaa ya maisha mazuri


Star huyo amepost Leo clip ya video akiwa na washindi wake anaowajua ambapo aliwapeleka dinner date kwenye hotel hiyo .


Mmmh mji mpana huu na una joto kaliii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yalaaa Idris Sultan huyu huyu?
Duh! Arusha kwishaaa
Haiwezekani
 
So ni mpango mkakati wa ku-derail watu kudiscuss mambo ya maana au? Jamii mzima igeukie kujadili ungese tu...huu uliotuletea shida juzi kati!? Ndio mambo yako wazi wazi hivi...chonde chonde msije mkauhalalisha tu maana vioo vikichafuliwa Jamii inamezwa jumla na kuona kawaida. Nyambaf!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutajie kwa code
Nyie ndo mnafanya watu tufungue ma file, Sasa kuna mastar wangap mjini mpka asingiziwe yeye ?

Au unataka nikutajie na jina la manager ? Mxieew tulia kama unazaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom