Smart Android TV

Smart Android TV

Janury

New Member
Joined
Apr 30, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo, hakuna chochote tena. Naombeni msaada ata ushauri tu
 
Hakuna sehemu ya kureset? Angalia Nyuma ya TV kama kuna Button ya reset.

Na kama Ni android tv chomoa waya, kisha bonyeza Power na Volume down kwa pamoja bila kuachia kisha chomeka waya wa tv hali ya kuwa umeshikilia uone kama itaingia recovery. Ikiingia recovery hard reset humo.
 
Hapa unakusudia power cable? Nina TV yangu tangu jana kila nikiwasha inaishia kwenye neno ANDROID
IMG_20230421_160141.jpg
 
Back
Top Bottom