Hakuna sehemu ya kureset? Angalia Nyuma ya TV kama kuna Button ya reset.Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo, hakuna chochote tena. Naombeni msaada ata ushauri tu
Probably hata sio Android tv, wachina wana Tabia ya kuweka Android za simu/Tablet na launcher tu ya TV.Hii ndo shida ya android tv.
Duh, mkuu naomba kuuliza kitu.. je unatumia hizi receiver za starsat?Probably hata sio Android tv, wachina wana Tabia ya kuweka Android za simu/Tablet na launcher tu ya TV.
Hapana mkuu zina nini?Duh, mkuu naomba kuuliza kitu.. je unatumia hizi receiver za starsat?
Hapa unakusudia power cable? Nina TV yangu tangu jana kila nikiwasha inaishia kwenye neno ANDROIDHakuna sehemu ya kureset? Angalia Nyuma ya TV kama kuna Button ya reset.
Na kama Ni android tv chomoa waya, kisha bonyeza Power na Volume down kwa pamoja bila kuachia kisha chomeka waya wa tv hali ya kuwa umeshikilia uone kama itaingia recovery. Ikiingia recovery hard reset humo.
Ndio mkuu, sema kila brand ina njia zake kupata uhakika kabisa tunaweza ku google brand husika.Hapa unakusudia power cable? Nina TV yangu tangu jana kila nikiwasha inaishia kwenye neno ANDROID
Data errorHapa unakusudia power cable? Nina TV yangu tangu jana kila nikiwasha inaishia kwenye neno ANDROIDView attachment 2595219
Nifanye nini mkuu?Data error