Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Hii ni kwa wadau wa pombe za bei chee, nyie wa K Vant, Konyagi, Black and White, Tequila, Sambuca, Johnny Walker ya Pascal Mayalla mtuache kidogo, Watanzania halisi tuna jambo letu.
Double Kick ilipoingia sokoni kuchukua nafasi ya viroba chapa jogoo na viroba vya Konyagi, ilipata wateja wengi sana ikiwa na ladha ya nanasi na harufu kali sana.
Smart Gin wakajipanga, wakaleta kinywaji chenye ladha nyororo, kisicho na harufu za kishetani, kisicho na hangover wala kukwaruzs kooni.
Mdogo mdogo, watu wakaanza kuielewa Smart Gin. Leo Double Kick inasugua tu bench, watu wanaipita bila hata salamu.