Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini.
Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi kusambaza dawa.
Ingawa kwetu huku labda 2050 ndio tutafika hatua hii.