Smart Key kupoteza mawasiliano

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wadau,
Nimepatwa na changamoto ya gari kutowaka, yaani ukibonyeza push start button haikubali as if mawasiliano kati ya funguo na button hayapo.
Tatizo lilianza kidogokidogo kuna wakati mpaka urudie rudie ndio ikubali, ila sasa hivi haikubali tena. Yaani ukiweka switch on itadisplay fresh ila ukibonyeza button wala haipokei.
Naombeni msaada jamani nianzie wapi?
 
Funguo battery ni removable au non removable?
 
Starte ina nasa hyo kaichek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…