Smart phones nyumba za ibada, no please!

Dhima ya simu janja, ujio wa namba ya siri na matumizi yasiyoepukika ya namba ya siri, mfumo Kristo na mpinga Kristo ndio msingi wa mada

Jr[emoji769]
Ni kweli kabisa Mh. Mshana Jr. Hua nakuheshim sana kwenye ujuzi wa mambo ya kiroho na kiimani lakini Hizi mambo ya namba za Siri ni kazi ya Mungu pia. Shetani ni kama vile akitokea Mwanachama wa CCM aliyehamia Upinzani kwa kukosa madaraka. Mara nyingi akiwa jukwaani atasahau na kusema CCM Hoyee!!

Shetani hana jipya kwani aliyonayo na watu wake ni Yale aliyoiga kule alipokua mwanzoni kwa Mwenyezi Mungu.

Shetani na wafuasi wake kwa sasa wanataka kuwaaminisha watu kuwa kila kitu kizuri na chenye kiwango ni cha Shetani.
Haiwezekani Kila ubunifu uwe ni wa shetani .

Ukiangalia hii mambo ya pass word utagundua kuwa ni mfumo wa kuwajenga watu wawe waadilifu. Ndio maana hata wizi umepungua mana ni rahisi kujulikana.
Walianza na alama za vidole.

Mungu aliumba vidole vya binadam lakini baadae watu wakafunguka na kugundua kuwa kila binadam ana pass word ya vidole vyake.
Hii ni kazi ni ya Muumba shetani anatafuta tu maujiko kwa kuwadanganya na kuwatisha watu.

Shetani alitaka wakati Fulani kumdanganya Nabii Issa au Yesu kwa kumwambia kuwa amsujudie ili ampe Mali zote kwa kuwa ni zake. Lakini Yesu alijua wazi kuwa shetani ni muongo na akamwambia kuwa anatepaswa kuabudiwa ni Mungu peke yake.

Kwa hiyo iwe iweje anayepaswa kuabudiwa ni Mwenyezi Mungu peke yake.
Iwe ni kwenye mtandao iwe ni wapi ni lazima Mwenyezi Mungu aabudiwe peke yake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
alafu mashekh wasiku hizi tu wana imani haba, kwasababu hata msahafu wenye kuhifadhi Quran tukufu, huwa havichanganwi na vitabu vyengine ktk kuhifadhi. Yani kwamfano kuweka katiba, kitabu cha shigongo, kitabu cha picha, jarida LA kita ngoma, hivi vyote kuviweka pamoja na msahafu haiswihi, sembuse app ya ktk simu!!!!?
 
Mnaishi maisha ya kukaririshwa ndio maana
 
Kinaitwa kisasa

Jr[emoji769]
 
Hii inaitwa kuishi kwa mazoea na kuchangia mada bila kuielewa

Jr[emoji769]
Huwezi kunielewa maana mbele yako kuna ukuta na mimi nipo upande wa pili.
Ibada njema mpendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo mshana mambo uliyoyataja ni ruksa mkristo kuyafanya ila dhambi ni kwenye kuyachanganya na bible?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mpendwa wangu hekima ya kimungu ndio hutuongoza kutenda ya kiroho na hekima ya kidunia ndio hutuongoza kutenda ya kimwili...

Jr[emoji769]
 
Huwezi kunielewa maana mbele yako kuna ukuta na mimi nipo upande wa pili.
Ibada njema mpendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhalisia hausemi mimi niko hivi na wewe uko hivi... Ukiwa na mtazamo huo tayari ni ukuta japo hauonekani... Mijadala haikimbiwi kwa kujinasibu uelewa wa kufikirika

Jr[emoji769]
 
Shida iko wapi hapa kuwa na apps na picha mbovu kwenye simu anayotumia mtu wakati wa ibada au matumizi ya simu yenyewe. Maana hata ukitumia hard copy ya vitabu vya dini na moyo wako ni mbovu ni kosa mbele za Mungu. Kikubwa ni kivizima eneo la mawasiliano unaweka airplane mode unaendelea na ibada.
 
Hatuwezi kufanana mitazamo ila ukweli utabaki kuwa ukweli na uhalisia vilevile

Jr[emoji769]
 
Reactions: J C
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…