Smart phones nyumba za ibada, no please!


Kujiridhisha na mambo kabla ya kuandika ni vizuri zaidi



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji123]
Barikiwa sana bro.Mungu katupa akili tuitumie kumtumikia,kumtumikia siyo kuimba mapambio na kufanya miujiza na mikwara,hii kufumbua watu macho kwa mitego ya ibilisi ni kumtumikia Mungu,
Welldone brother

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Inaonesha wewe ni msabato (666 ya Papa)
 
Matumizi mabaya ya teknolojia hayawezi kuwa hoja ya kupinga matumizi ya teknolojia. Hizo Picha chafu na uchafu wote uliotaja si programs zinazotengenezwa na Simu bali mtu anaweka mwenyewe kutokana na dhambi iliyo moyoni mwake. Utakatifu wa neno la Mungu hauko ktk material lilipoandikwa bali neno lenyewe. Fikiria kama manabii name mitume walioacha maandishi yao kwenye ngozi tena ikitunzwa hekaluni wakafufuka leo wakute hizi karatasi ndogo zilizochapwa Biblia si watatushangaa kwamba tumepotoka?
Kila zama ina teknolojia yake na Mungu ndiye mwenye teknolojia yote ,tusichanganye dini na ushamba ila dini itumie teknolojia kufikisha ujumbe wa Mungu kwa haraka. Soma Daniel 12:4. Nina mashaka sana na tafsiri yako kuhusu alama ya 666
 
jmosi umetumia simu kujirekodi ukifanya "matusi", jumapili unakwenda nayo kanisani na unaitumia kama biblia!!
Halafu ulivyo kimbelembele kumkemea shetani!!! mp.uuzi wewe! wakati ni ndugu yako wa damu.Huu ni usaliti pia
 
Kila zama ina teknolojia yake na Mungu ndiye mwenye teknolojia yote ,tusichanganye dini na ushamba ila dini itumie teknolojia kufikisha ujumbe wa Mungu kwa haraka. Soma Daniel 12:4. Nina mashaka sana na tafsiri yako kuhusu alama ya 666 [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]hebu yaseme hayo mashaka yako
Jr[emoji769]
 
[emoji848][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]
jmosi umetumia simu kujirekodi ukifanya "matusi", jumapili unakwenda nayo kanisani na unaitumia kama biblia!!
Halafu ulivyo kimbelembele kumkemea shetani!!! mp.uuzi wewe! wakati ni ndugu yako wa damu.Huu ni usaliti pia

Jr[emoji769]
 
Japo nna bible app for reading anytime ila kwa kanisani siku zote simu ntaweka silent mode na kusoma bible OG

Ipo day watavuruga hizo App jmn
Tuwe na hardcopy backup
 
Japo nna bible app for reading anytime ila kwa kanisani siku zote simu ntaweka silent mode na kusoma bible OG

Ipo day watavuruga hizo App jmn
Tuwe na hardcopy backup
Sahihi kabisa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Teknolojia na maendeleo ya Sayansi yanammeza mmoja mmoja tena kwa taratibu...unapomezwa unageuziwa sehemu nzuri ya kujipungia kijupepo...mara chwaaap...ushapotea kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…