A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 Nov 23, 2024 #1 Habari zenu Wakuu, Nauza SmartTv ya TCL inch 32 kwa 270,000 tu! ISHAUZWA TAYARI!
M mwanadodoma JF-Expert Member Joined Mar 12, 2024 Posts 344 Reaction score 653 Nov 23, 2024 #2 Weka na risiti hapa tuone wewe uliinunua shilingi ngapi hiyo miezi 5 iliyopita Ili tufanye ulinganifu wa Bei na depreciation
Weka na risiti hapa tuone wewe uliinunua shilingi ngapi hiyo miezi 5 iliyopita Ili tufanye ulinganifu wa Bei na depreciation
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Nov 24, 2024 #3 Kwa bei hyo kwa tv iliyotumika miezi mitano labda umpate aliyeingia mjini baada ya ajali ya kariakoo
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Nov 24, 2024 #4 Kwa TLC ni bei nzuri, zingekuwa zile nyingine nyingine...ningepata wasiwasi ba bei..
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 24, 2024 #5 Nje ya mada: Hiyo miguu ya mbwa au?