INAUZWA Smart watch, inakaa na chaji siku nzima

KipenkaHQ

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
8
Reaction score
19
Inakaa na chaji siku nzima

Unaichaji lisaa 1 tu

Nakuletea ikiwa mpya Newfull box yaani saa yenyewe ikiwa na betri moja na USB tayari kwa matumizi

Sim Card and Memory Card

Unaweza kupiga na kupokea simu kama kawaida

Na kioo chake ni cha touch

Ina sound kubwa kama simu ya kawaida kabisa

Karibu namba ya mawasiliano ni 0752886244 bei yake ni TSH55,000/=

Free Delivery kwa Dar na Mikoani tunatuma.

 
Hapana sio lazima awe na saa hata akiwa na simu pia na aichagui mitandao ya simu una weza kupiga kutuma sms kwa kutumia saa na una weza uka connect saa yako na simu yako pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…