DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Habarini za jioni Na poleni kwa weekend!
Napenda kuwajulisha tu kuwa muda wowote tutawaletee interview kabambe ya couple au wapenzi wanaoongoza kushow love hapa JF mr and Mrs smart 911!
Changamoto kubwa tuliyonayo ni kumshawishi smart 911 akubali kushiriki
Mahondaw yupo tayari ila anasubiri tu mumewe akubali.
Nawasihi wana jf tunaoipenda couple hii tuonyeshe ushirikiano kuwashawishi ili waweze kushiriki ili
Tupate kujifunza mambo mengi toka kwao hali kadharika Na wao kupata vinono vingi toka kwetu
Ikiwemo masuala ya mahusiano,familia,biashara kazi utamaduni Na burudani.
Let's hope positively that it gonna be done!
Grory be to God!
DJ sepetu