Smart911:Mahondaw kimemkuta nini?

Mkuu Kuna hati hati ya mtu kunyang'anywa marinda hapo [emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji3][emoji3]
Mkuu hilo halina ubishii lazima mmoja atinduliwe
 
Jamani hebu njoo pm unibebishepo mwee ila mima umuage kabisa kabisa
Aaahhh Mima mshikaji wala usiwe nahofu ,yuko peace unajua kizuri kula namwenzio !!!!.... Macho yangu yamemis macho yako Kapeace nataka pafu moja LA kinywaji baridiiiiiiiii maana najihis km mwenye kiu alafu nipo Jangwani ,jua Kali ,naweww ndo Kilimanjaro .
 
Humu wakuturoga ni wengi nakusubiria pm kijana Mwenye mapafu ya punda (Hii ni kwa msaada wa mima)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…