Smart911:Mahondaw kimemkuta nini?

Duh aisee hatukuachi sio kwa mbebisho huu
Duuuhh nakwann mniache jaman ???.

Hata Mimi nafanya kila naloweza kukupen Furaha na maisha mnayostahili ,,nawapenda sana...mkiniacha itanibidi[emoji116] [emoji116] [emoji116]maswal km haya yasiniishe kwa heshima nataazima ,,mie nawaomba muendelee kunipa nachostahili....maisha yenyewe yakowapu mpaka isiwe raha ? ...mie nataka raha tuuu...kukiwa na joto mchangie kunipepea km Mzee Yusuph!!!!
 
Nilimiss Huu mbebisho aisee

Ntakutumia zawadi yako ya sikukuu
 
Nilimiss Huu mbebisho aisee

Ntakutumia zawadi yako ya sikukuu
Ewaaaaaaa ila usitumie zawadi ...naitaji ujitume mwenyewe au Mimi nijitume ,,,, kale kakozi nilokuambia sasa nmekamaliza na nmekua Mjuzi wakuchora picha zaaina yoyote ...Sasa hivi nataka Nikuchore Kapeace Wangu ! I just wanna to paint you...kama Jack alivyomchora Rose ndani ya Titanic
Upo nyonyo[emoji23]
 
Nichore basi Halafu unitumie huo mchoro

Mwanaume wewe
 
Nichore basi Halafu unitumie huo mchoro

Mwanaume wewe
Ewaaaaaaaa mambo haya sasaa nakuchora kwa jinsi ulivyokaa hapo ukichatii [emoji116] [emoji116] [emoji116] a aiseee kwahakika you are so much beautiful
 
Dua langu linakwenda kujibiwa...!

Ewe Mahoundaw naomba achia ngazi kwa Mchizi Mox, na uje kwangu tule Raha ya Dunia...[emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada kalegeze vyuma vyako kwanza alafu ndo uje kuwa hoji hawa watu
 
Halloww

Nawaona mr and ms picha picha

Msijisshebedue nendeni pm kule mule mema ya nchi kwa raha zenu sio kunirusha roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…