Mostly tumekuwa tunafanya promotion kwa Google Ads, pia tuko na field team ambayo inatembelea wafanya bishara kwenye maduka yao.Safi nauhakika sio organic ni ads izo 50k huwezi kosa chochote kitu
Fafanua hiyo app inatumikaje na inasadiaje biashara za kawaida