Anarokodi kwenye Video unamsikiajeHapo si anarecord tu kawaida
Huyo jamaa picha ya kwanza ana ukimwi au....? Mbona ngozi imefubaa sana !? Duh....
Anaweka video na sauti kwenye app ya kuedit video na kuziunganishaAnarokodi kwenye Video unamsikiaje
Inaitwaje hiyo app mkuu ?Anaweka video na sauti kwenye app ya kuedit video na kuziunganisha