Smith Rowe kujitia kitanzi gunners

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Kiungo mshambuliaji wa miamba ya soka ya kaskazini mwa London (arsenal ) Emile smith Rowe yupo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia miamba hiyo ya soka ya Uingereza, ikumbukwe pia Emile Smith Rowe alionyesha kiwango cha juu kabisa msimu uloisha na kuwavutia mabosi wa arsenal, taarifa za ndani zinasema mkataba umesainiwa mpaka june 2026.

 
Habari za usajiri za hawa underdog arsenal huwa zinachekesha.
 
Huyu bwana mdogo ni hazina kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…