majuto ni mjukuu
New Member
- Feb 18, 2025
- 1
- 37
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.