Hey guys!
Naombeni mnisaidie kitu.....
Nimeweza kuback up sms zangu kwenye pc....wakati nazisave nilipata option mbili kuzisave kama TAB file au Comma separated values nikachagua zote.File la CSV linafunguka kwa Microsoft excel bila tatizo ila la TAB halifunguki.So nahitaji msaada kujua kama kuna software nnayoweza kutumia kufungua hilo file.
Asanteni
Hiyo nayo ni text file nadhani, either fungua kwenye Notepad, au import kwenye Excel.(Excel 2007) Get External Data >From Text > Weka All Files kwenye file filter then ichague hiyo file.
Hiyo nayo ni text file nadhani, either fungua kwenye Notepad, au import kwenye Excel.(Excel 2007) Get External Data >From Text > Weka All Files kwenye file filter then ichague hiyo file.