ESCORT 1 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 1,412 Reaction score 3,043 Mar 10, 2025 #1 Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu. Kama ni elimu naamini tushaipata ya kutosha juu ya hao matapeli
Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu. Kama ni elimu naamini tushaipata ya kutosha juu ya hao matapeli
kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Mar 10, 2025 #2 Haha Kuwa mvulivu ndg Nimeipokea saa Nne asubuhi na muda huu nimeipokea tena
City Of Lies JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 4,925 Reaction score 6,137 Mar 10, 2025 #3 Wanazingua sana aisee
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Mar 10, 2025 #4 Alafu kumbe hii wizara na waziri? Nimekuja kugundua siku wanalaunch hii #sitapeliki