Elections 2010 SMS za Uchaguzi: Tupe yako, Chukua Moja, Sambaza Ujumbe

Elections 2010 SMS za Uchaguzi: Tupe yako, Chukua Moja, Sambaza Ujumbe

Mbogela

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2008
Posts
1,384
Reaction score
258
Hii ni Thread maalum kwa ajili ya Kampeini za uchaguzi kwa njia ya simu.
1. Wadau mtakuwa mnaingiza sentensi fupi fupi za kampeini zinazofaa kutumwa kwa njia ya simu kila siku. Sentensi iwe yenye namna yoyote ya ushawishi. Hatuna haja ya kupima na kubishana juu ya ubora wa hiyo sentensi.
2. Kila siku chukua sentensi iliyo nzuri na kuituma kwa ndugu, Jamaa na marafiki walikoko kwenye phone address book yako na wakumbushe kuiforward kwa wengine pia.
3. Tunahitaji kuwa na ujumbe kwa njia ya picha zinazowezekana kuchotwa kwenye simu pia (kama mikutano ya hadhara na umati wa watu, misafara ya magari ya kampeini, Helicopter na ndege za kampeini) nazo zitatumwa kwa wadau mbali mbali kwa mtindo ule ule (MMS)
 
"Sihitaji kura za wafanyakazi" J.M. Kikwete (CCM)
 
Kwa heri MAPINDUZI wa kukumbatiaMafisadi, karibu DEMOKRASIA wa MAENDELEO.
 
"nahitaji kura za wafanyakazi"

"wafanyakazi nipeni kura zenu"

"mfanyakazi kura yako ina thamani kubwa kwa watanzania"
 
Dr. Wilbroad Slaa ni mwarobaini wa matatizo ya Watanzania
 
Ikulu bila ya kuwa na wabunge makini haina maana, chagua mbunge makini kutoka CHADEMA
 
Back
Top Bottom