Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ckufichi hawa jamaa wanao eneza habar zisizo na kichwa wala mkia wanakera sana
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Habar zenu kwanza.hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa tcu sielew nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan?tusaidiane tujue
Mzigo ulikuw hewan mida ya saa tano sita wakafunga tena hiyo ilikuwa jumamosiJuz mzgo ulikua hewan