SMS Zinazosambazwa kuhusu TCU zinamalengo gani?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Habar zenu kwanza, hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa TCU, sielewi nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan?

Tusaidiane tujue
 
Wenye maarifa hatupepesuki na hizo taarifa
Ndio selection zili leak jumamosi na zikafungwa baada ya muda

Ila NACTE wametoa official information kuwa selection zitakuwa released on 22 Sept.

Tunatulia fresh
 
Ckufichi hawa jamaa wanao eneza habar zisizo na kichwa wala mkia wanakera sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Isitoxhe wanasubutu had kutoa source ya habar ukiwaambia web gan kimya aisee hawa jamaa mi nawashangaa sana
 
Habar zenu kwanza.hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa tcu sielew nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan?tusaidiane tujue

chuo utapata mdogo wangu maana kwa jinsi ulivoandika unaonyesha ww unasubiria selection.. achana na maneno mengineo cha msingi subiri utaratibu kutoka tcu au nacte hao ndo wenye mamlaka pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…