Mbona serikali imepiga marufuku hata ule waraka wa Shura za maimamu? Kwa nini umeacha kuutaja huo ukataja wa wakatoliki tu? Uwe mkweli bana! Serikali imesema haitaki waraka wa mwongozoHatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,
Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe
Kwa sababu huo ukarasa au waraka wa kanisa ndio kiini cha matatizo yote ambayo yanendelea kurindima.Na ndio mzizi wa fitna hivyo ukishakatwa huo mingine yote itanywea na kufa.Mbona serikali imepiga marufuku hata ule waraka wa Shura za maimamu? Kwa nini umeacha kuutaja huo ukataja wa wakatoliki tu? Uwe mkweli bana! Serikali imesema haitaki waraka wa mwongozo
Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,
Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe
Mbona serikali imepiga marufuku hata ule waraka wa Shura za maimamu? Kwa nini umeacha kuutaja huo ukataja wa wakatoliki tu? Uwe mkweli bana! Serikali imesema haitaki waraka wa mwongozo
sasa mwache kadinali pengo atowe kunya zake kwa SMZ,kama hayatomkuta yaliyo mkuta shekh KURWA ,zanzibar anisikia tu sasa na kuiona paa ,hadi hivi naingia mitamboni hatakiwi hata kutia mguu wake hapa zanzibar.
sasa mwache kadinali pengo atowe kunya zake kwa SMZ,kama hayatomkuta yaliyo mkuta shekh KURWA ,zanzibar anisikia tu sasa na kuiona paa ,hadi hivi naingia mitamboni hatakiwi hata kutia mguu wake hapa zanzibar.
KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.Mtamroga au mtamsomea albadil? wewe ndio umeamua kuwa hatakiwi kutia mguu Zanzibar au?
Ndugu zangu wa Zanzibar jaribuni kubadilika jamani, hivi kweli mnadhani mtabaki na akili hizo hadi lini? kwanini mnapenda sana ligi zisizokuwa na maana? Ninahisi wa bara wamewachoka mno basi tu, ingekuwa kuna kura za maoni nahisi idadi kubwa ya kukataa muungano wa kijinga huu ingetoka bara sasa....
Habari ndiyo hiyo hatutaki fitna zenu....someni waraka wenu huko huko makanisani khalasKutoutaja MWONGOZO wa Shura ya Maimamu kuwa ni mzuri au la inamaanisha kwamba SMZ wanaukubali? Kaazi kweli kweli!
Naona maji yameganda sasa unaita nini ........barafu?KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.
sasa mwache kadinali pengo atowe kunya zake kwa SMZ,kama hayatomkuta yaliyo mkuta shekh KURWA ,zanzibar anisikia tu sasa na kuiona paa ,hadi hivi naingia mitamboni hatakiwi hata kutia mguu wake hapa zanzibar.
Kitu ambacho sikielewi ni kuwa nyaraka hizi ni za serikali au za wananchi?. Ikiwa waumini wa dini wanakaa na kusema kuwa wanataka waogozwe vipi hayo haiyahusu serikali kwani serikali imewekwa na wananchi bali ni jukumu la wananchi wenyewe.
Tatizo hawa watu waliopewa dhamana wanajiona kama vile wana haki miliki na yeyote anayeingilia ulaji wao wanamuona ni mhatarisha usalama wa nchi( hawa wote ni wanafiki na wabinafsi hakuna kinacho wasumbua zaidi ya ubinafsi wao)
Waraka huu si kwa ajili yao ni kwa ajili ya wananchi wachague watu wanaowaona wanafaa na si vinginevyo sasa kwa kuwa wao tayari wanajijua hawafai wanaanza kulialia "they are hypocrites" kama waraka ungekuwa unawafagilia wao wangeutumia kujihakikishia kubaki kuitafuna nchi. Serikali yoyote ile haina mamlaka ya kuupinga waraka wowote kwani si kwa ajili yao na kitendo chochote cha kuupiga marufuku ni power abuse na one day tutawashitaki kwa udikteta wao na kuiminya katiba inayompa haki mtu kueleza mawazo yake (freedom of expression)
Nyie wazanzibari acheni ujinga wenu; hao mafisadi wanaowatawala ndio chanzo cha matatizo ya maisha yenu eboo!! waraka wa katoliki unawapa mwanga wa jinsi ya kujinasua kutoka kwenye makucha ya wakandamizaji wenu na ndio maana wanaupinga. AMKENI SAA YENU YA UKOMBOZI NI SASA: AMA SIVYO HAO MASULTANI WENU WEUSI{ UKOO WA KARUME NA MWINYI} UTAWATAWALA MILELE NA MILELE NA DAIMA MTAKUWA MAFUKARA!!
Mtamroga au mtamsomea albadil? wewe ndio umeamua kuwa hatakiwi kutia mguu Zanzibar au?
Ndugu zangu wa Zanzibar jaribuni kubadilika jamani, hivi kweli mnadhani mtabaki na akili hizo hadi lini? kwanini mnapenda sana ligi zisizokuwa na maana? Ninahisi wa bara wamewachoka mno basi tu, ingekuwa kuna kura za maoni nahisi idadi kubwa ya kukataa muungano wa kijinga huu ingetoka bara sasa....
KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.
Wazenj ni vilaza period.
Sasa wewe, sikuelewi. Hebu tafuteni kwanza uhuru wenu, halafu mkishakuwa huru ndio muweze kumsemea aliyehuru kama Pengo. Hamjui kuwa tangu enzi za mkoloni tulikuwa na maliwali waliokuwa wanawajibika kwa wakoloni na sio kwa wananchi? Nyie leo sijui imekaaje? Labda mwaka ujao mtajichagulia liwali vile, sijui!???!!??