Moderator, nadhani tunahitaji kujadili mambo ya maana ya kujenga nchi na siyo huu ujinga wa akina hamza anayeropoka bila hata kujua anaongea nini. Fungeni hii thread haraka.
Waraka ni mapendekezo....kama vile ushauri. Kwa kutumia akili yako mwenyewe you can analyze then take it or leave it. People are making it sound like the Catholic church is shoving this document down people's throats.
Mwanafalsafa1, tueleze mapendekezo hayo kwa nani? na jiulize kanisa katoliki lipo hapa Tanzania kwa ajili ya watu gani? sasa vp wauingize waraka huo kwa jamii nzima ya TZ.
Ni bora waraka wao wangeupenyeza kwenye mahubiri yao lakini usiwe kwa nchi nzima.
sasa mwache kadinali pengo atowe kunya zake kwa SMZ,kama hayatomkuta yaliyo mkuta shekh KURWA ,zanzibar anisikia tu sasa na kuiona paa ,hadi hivi naingia mitamboni hatakiwi hata kutia mguu wake hapa zanzibar.
.Mkuu kuna mtu kalazimishwa kuupokea wala kuukubali?
.
ndio maana SMZ na waZnz tumeukataa kabisa.
Magezi,
Sina cha kukwambia kwani mengi yameshabainishwa na Ngekewa. naomba usome vizuri sana posting zangu ujue nilikuwa najenga hoja gani. na sio ukurupuke kutoa kashfa.
Dr Hamza
Basi that was all that was needed. So sioni pili pili ina wawashaje nyie wengine. Hata mimi nimeukataa waraka wa waislamu lakini silumbani juu ya huo waraka wao.
Ndo maana nikasema mleta thread ni mamluki, waislamu wametoa waraka, wakatoliki wako kimya, sasa kinacho wawasha barubaru na waziri hamza ni nini kuhusu waraka wa wakatoliki?? mbona wao wako kimya hawaja sema chochote kuhusu waraka wenu (waraka wa waislamu)???