Snapchat kuruhusu watumuaji kubadili username

Snapchat kuruhusu watumuaji kubadili username

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
App ya Snapchat, mwezi huu itaanza kuweka sehemu ya kubadili username. Kampuni hiyo imetangaza leo kuwa watumiaji wake watakuwa na uhuru wa kubadili username kama ilivyo katika Instagram na Twitter.

Hii itawezesha watu ambao walifungua kwa username za kawaida, kubadili username na pia wale ambao wana watu wengi wanaweza kuuza akaunti zao kwa sababu details zote za akaunti zinaweza kubadilika na ukaifanya iwe akaunti mpya.

⛔️ Kuwa makini, Snapchat imeweka limit ya kubadili username mara moja kwa mwaka. Pia Snapchat imesema hautaweza kubadili username ambayo uliwahi kuitumia au ambayo kuna mtu anaitumia. Username ambayo umeibadilisha hautaweza kuirudia tena hata kama hakuna mtu anayeitumia.
 
Back
Top Bottom