Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 489 Reaction score 386 Jan 29, 2025 #1 Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
T The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 1,497 Reaction score 2,681 Jan 29, 2025 #2 Vipi unaweza zishare hizo video baada ya kuzidowload?
Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 489 Reaction score 386 Jan 29, 2025 Thread starter #3 Ndio maana unapakua kwenye storage ya simu Yako Moja kwa moja, hivyo unayo full control.