Sneak view: Morroco's vs Kenya's SGR

ya moroko ya mdoli yaani ya kuchora ya kenya ya ukweli ukweli!!!huwa naamini zaidi vitu vya kweli na sio michoro
 
Morocco = bullet train, speed 320km/hr, 14 trains, expected to carry 5 million passengers a year.



Kenya = high speed =120km/hr, 5 passenger trains expected to carry 1 million passengers a year + 54 cargo train with option of up to 100 cargo trains expected to carry up to 35million tonnes a year.

You might as well be comparing the moon and the sun.

Having said that, we could have done better with a more sleek looking train for 'majigambo' purposes
 

So u want clips for Morocco's cargo train?
 
Viongoz kenya wezi kudadeki yaan hiyo miradi miwili inalingana gharama saa inakuaje ya kenya ipo ka ya mwaka 70 mwee..
Uhuru Uhuru Kenyatta mungu anakuona ujue sio kwa changa la macho ulowapiga wakenya daaa so sad..
Bongolala ni bongolala unataka tukukumbushe acacia mining imeishi kuwafanyia nini?
 
You miss the point, zote zimetumia gharama sawa.
 
acheni za wenzenu, tusubirieni ya bongo ije tuione
 
You miss the point, zote zimetumia gharama sawa.
And you miss the point too, garama ni sawa ilihali ya morrocco ni reli ya abiria pekee, tena ticket itakua subsidised. Yao ni 350km. . While reli ya kenya ni heavy duty 470km inabeba 35mln tonnes abiria was just a by the way. The proposed mombasa commuter rail that will run from mombasa to Lamu via Kilifi,malindi will not be able to carry heavy cargo, it will only be for passengers, that line will be a better comparison with the morroco line


 
yenu ya abiria ipo wapi inayoenda angalau 160 km/h? maana hiyo ya mizigo ya KR ni majanga 80km/h!
 
Wanasemaa..... 'Sneak Preview'...... Kumbe wewe ni yule ng'ombe ya maziwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…