SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Kilimanjaro, kageraNaomba kujua, hiv miti design ile inapatikana maeneo gan hapa bongoland?
Njoo mufindiNaomba kujua, hiv miti design ile inapatikana maeneo gan hapa bongoland?
Hiyo uipate kwenye battle ground ya PUBG au kwenye battle royale ya Call of duty unajificha sehemu alafu unawapa za kichwaOpen forum.
Angusha picha kali ya sniper rifle na ukiweza pia na jina la rifle husika, nchi ilipoundwa na kadhalika.
Karibu. View attachment 2551474
50 calKalatov buster manufacture huko kharkiv Ukraine inapiga shabaha kilometa 10
Risasi yake ina tabia ya kukata kona kutafuta targets
Inatumiwa na wanawake tu
Hata ikikukosa unakufa
Mtumiaji akishamaliza kuua inageuka pikipiki anapanda anakimbiaView attachment 2552074