Snoop Dog is 50 years

Huyu jamaa hua hazeeki, yaani mimi tokea nilivyoanza kumjua mpaka hii leo namuona yupo vilevile tu.
 
Snoop....
Namkubali sana ana ladha ya tofauti sana.
Ngoma yake aliyoshirikishwa na NAS ( play on playa ).....huwa inanikosha sana.
 
Kuna huyu mwamba naye ana 56, kajamaa hakazeeki haka.

 
Snoop ana afya njema sababu asubuhi akiamka tu anakula matunda na kuvuta bangi za kutosha

Bangi na matunda ni kila asubuhi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…