Snoop Dogg achia nyimbo 5 za kwenye albamu yake ya injili ‘BIBLE OF LOVE’

Snoop Dogg achia nyimbo 5 za kwenye albamu yake ya injili ‘BIBLE OF LOVE’

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Wiki iliyopita Snoop Dogg alitangaza rasmi kuwa atakuwa ataachia albamu yake yenye nyimbo za injili iitwayo Bible of Love hivi karibuni.
snoop-dogg-bible-of-love.jpg





 
Si alisilim huyu na kuwa Shekh kabisa.

Wakati mwingine Bangi huwa haina msimamo.Vilevile alishawahi kwenda Jamaica na kutubu huko Urastani na kuachia album yake ya Reggae iitwayo Reincarnated.Leo yupo kwenye injli,cha msingi ni kupokea ujumbe na kumuacha kama alivyo maana ni Dubule Standadi.
 
Back
Top Bottom