Wakati mwingine Bangi huwa haina msimamo.Vilevile alishawahi kwenda Jamaica na kutubu huko Urastani na kuachia album yake ya Reggae iitwayo Reincarnated.Leo yupo kwenye injli,cha msingi ni kupokea ujumbe na kumuacha kama alivyo maana ni Dubule Standadi.