Snoop Dogg anazingua kinoma

Snoop Dogg anazingua kinoma

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki anaofanya. Last time naskiliza ngoma zake alikuwa ana-spell tu jina lake almost kila ngoma. Mtu mzima anazinguana na ma-dame siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, Gz never do that, matter-fact, Men shouldn't do that.

Jana nime-chill kitaa nikakutana na The Roast of JB, Comedy Central. Snoop alikuwa mmoja wa Roasters, kaharibu kinoma. Kevin Hart alimchana ki-utani ila alimaanisha sana tu, Snoop ni mtu mzima sana kufanya anayofanya saivi. Too much weed makes you stupid arif.

Btw, nilikuwa sijui kama Rappers nao wana-roast watu siku hizi.
 
Lembe wapi,nikujifariji tu huku! Uswahilini ndio kwetu kwao,

Pia anaonekana ni mtoto mdogo saaana huyu jamaa au kama nimkubwa kiumri basi ni zile type za kina LEMUTUZ...

Mtoto huyo hana majukumu mwacheni apagawe na snoopy leo!
 
Kuna watu wana machungu tu bila sababu za msingi, na namna pekee wana-deal nayo ni kwa kujificha nyuma ya fake Identities kwenye mitandao na kuchokoza watu. But as one of my favorite line says, 'The cloth from which we came me and them is not the same', so naacha wajifurahishe, kwa sababu ndio kitu pekee walichonacho.
 
Lembe wapi,nikujifariji tu huku! Uswahilini ndio kwetu kwao,

Pia anaonekana ni mtoto mdogo saaana huyu jamaa au kama nimkubwa kiumri basi ni zile type za kina LEMUTUZ...

Style za wap hizo Bob? Kila mtu na starehe yake we kama una mind sebene ni wewe. Sasa hizo Diss za nini wakat mtu hata hamjuani au unafikiri wote wanakaa Uswahilini nini? Pigo za Foo sana Bob na si za ki Gentleman.
 
Waache wapunguze machungu yao man, watu kama hao wapo kila kona. Ukionyesha kukerwa nao, ndio wanafurahi
 
Mkuu TUPACified wanyamwezi wengi tu wamezingua kwenye game ndio maana wengine wameamua kufanya Mitkasi mengine ili waendelee kuwa na heshima ktk industry hii.
KRS One anakuambia ana Believe Respect sio Money. Jamaa niliyeona anarudisha game za kiWest ni The Game lakini daaah Nigga ananyoa KIDUKU mara aweke Bleech sijui nini huko nimemkataa kabisa.
ImageUploadedByJamiiForums1428306537.575145.jpg
 
Last edited by a moderator:
Waache wapunguze machungu yao man, watu kama hao wapo kila kona. Ukionyesha kukerwa nao, ndio wanafurahi

Miyeyusho sana watu kama hawa ndio wana Reflect wenzao Uswaz wanaishi vipi japo hata kama sio wote. Na hizi sheria za #CyberCrime zimeletwa kwa watu kama hawa.
 
Style za wap hizo Bob? Kila mtu na starehe yake we kama una mind sebene ni wewe. Sasa hizo Diss za nini wakat mtu hata hamjuani au unafikiri wote wanakaa Uswahilini nini? Pigo za Foo sana Bob na si za ki Gentleman.

kabisa kabisa
 
Mkuu TUPACified wanyamwezi wengi tu wamezingua kwenye game ndio maana wengine wameamua kufanya Mitkasi mengine ili waendelee kuwa na heshima ktk industry hii.
KRS One anakuambia ana Believe Respect sio Money. Jamaa niliyeona anarudisha game za kiWest ni The Game lakini daaah Nigga ananyoa KIDUKU mara aweke Bleech sijui nini huko nimemkataa kabisa.
View attachment 240843

Sure thang brother, ni aibu sana hawa Rappers wa leo watafanya chochote ili kupata hela. Game alianza vizuri, nilikuwa namkubali sana. Ila akapoteza ramani kabisa kadri muda ulivyosonga. Mainstream rap inawameza washkaji wengi sana.
 
Last edited by a moderator:
Miyeyusho sana watu kama hawa ndio wana Reflect wenzao Uswaz wanaishi vipi japo hata kama sio wote. Na hizi sheria za #CyberCrime zimeletwa kwa watu kama hawa.

Ndio jamii tunayoishi nayo bro, ukiamua kuwa tofauti na kufata yako wanaumia. Huwezi kuwazuia zaidi ya kutowajali ki-vyovyote.
 
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki anaofanya. Last time naskiliza ngoma zake alikuwa ana-spell tu jina lake almost kila ngoma. Mtu mzima anazinguana na ma-dame siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, Gz never do that, matter-fact, Men shouldn't do that.

Jana nime-chill kitaa nikakutana na The Roast of JB, Comedy Central. Snoop alikuwa mmoja wa Roasters, kaharibu kinoma. Kevin Hart alimchana ki-utani ila alimaanisha sana tu, Snoop ni mtu mzima sana kufanya anayofanya saivi. Too much weed makes you stupid arif.

Btw, nilikuwa sijui kama Rappers nao wana-roast watu siku hizi.

mi sikuona tatizo kwene BiebersRoast, Kev hakumchana mchizi ile kama kumdiss ameongea mambo ya kawaida tu ya kwene roast. Hata hivo Shaq na Ludar walikuepo kwene hiyo roast proving again kua mtu yoyote anaweza roast. Kev aliponda snoop kutumia neno Nigger mara nyingi na pia aliponda jamaa alivokua ana generalize weusi wote kwenye kuvuta ganja na hitting bad bitches. Kuponda kule ndo maana ya Roast kama ulikua hujui, hakuna aliesimama pale na kumsifia mtu hata mmoja, Pete alisema " it feels good to be on a roast hosted by Shaq's Dick ( kev )" . Snoop has never been a hardcore hip hop artist, kwahiyo ukisema humuelewi sasa hivi umechelewa, ulitakiwa usimuelewe tokea mwanzo.
 
Haha thanx 4 the extra info on the Roast man, but i believe i knew enough, probably even more than.

Sidhani kama kuna popote niliposema Snoop was ever a 'hardcore Hip-hop artist', wala popote niliposema kwamba 'hardcore Hip-hop' pekee ndio nayoielewa my brother, basically, sijazungumzia chochote kuhusu 'hardcore Hip-hop'. Soma post yangu kwa utulivu utaielewa fresh, na ni mtazamo wangu tu.
 
Snoop anajua anachofanya, kama umeangalia documentary yake ya reincanated utamuelewa why now days he acts this way, he had been there in most danderous hip hop era under hardest recording label, and still respected by both old guards and new comers.
He has nothing more to prove!

It's true man, He has nothing to prove, but that doesn't give him right to act the way he is. Picking up on girls on the internet is no way of keeping the respect he earned, i don't care if he survived the devil himself. We all know he invented burning trees, so why the hell is he still tryna prove it man?
 
Haha thanx 4 the extra info on the Roast man, but i believe i knew enough, probably even more than.

Sidhani kama kuna popote niliposema Snoop was ever a 'hardcore Hip-hop artist', wala popote niliposema kwamba 'hardcore Hip-hop' pekee ndio nayoielewa my brother, basically, sijazungumzia chochote kuhusu 'hardcore Hip-hop'. Soma post yangu kwa utulivu utaielewa fresh, na ni mtazamo wangu tu.

kila sehemu ulio-highlight mbele yake kuna maelezo mazuri, too bad hukuweza kuyatumia kujibu hoja yangu. Pickin up on girls, kama unaongelea ishu yake na Iggy, snoop aliongea ukweli and by far he has never been a snitch, hata hivo Eminem did the same thing kwahuyo Iggy, kumbuka 2pac nae alifanya hivo hivo na Rashida.

It is all about being real, and Snoop has been this guy tokea nianze kumjua. Kwene Roast he was okay hamna kituko cha ajabu chochote alichofanya. Mziki wa Snoop ni ule ule, tofauti ni kwamba inawezekana umemsikia kwene ngoma nyingi za kushirikishwa na ukahisi ndo ambavo hua anaimba.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki anaofanya. Last time naskiliza ngoma zake alikuwa ana-spell tu jina lake almost kila ngoma. Mtu mzima anazinguana na ma-dame siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, Gz never do that, matter-fact, Men shouldn't do that.

Jana nime-chill kitaa nikakutana na The Roast of JB, Comedy Central. Snoop alikuwa mmoja wa Roasters, kaharibu kinoma. Kevin Hart alimchana ki-utani ila alimaanisha sana tu, Snoop ni mtu mzima sana kufanya anayofanya saivi. Too much weed makes you stupid arif.

Btw, nilikuwa sijui kama Rappers nao wana-roast watu siku hizi.

Snoop nilimkubali sana enzi za Doggy Style, Murder was the Case, Hivi bado yuko kwenye game?
 
Back
Top Bottom