Mkuu TUPACified wanyamwezi wengi tu wamezingua kwenye game ndio maana wengine wameamua kufanya Mitkasi mengine ili waendelee kuwa na heshima ktk industry hii.
KRS One anakuambia ana Believe Respect sio Money. Jamaa niliyeona anarudisha game za kiWest ni The Game lakini daaah Nigga ananyoa KIDUKU mara aweke Bleech sijui nini huko nimemkataa kabisa.
View attachment 240843
Huyo hajawahi hata kusikia kuna Kitabu kama hicho.Basi young thug hata hakuiona
Me nasikia mambo ya roast Alafu jana ilikuwa Pasaka sasa sielewi ni roast nazojua mimi au?
La kwanza, la pili huyo snopy unayemzungumzia ni yupi sababu unaonekana kama mpo majirani sana.
Msaada tafadhali!
Snoop hajawahi kuwa na heshima na hajali,ila unamuona vile ana familia na watoto na wajukuu na wanamuheshimu tu na uchizi wake.ana kijana wake CBroadus ni staa Mkubwa tu NFL.Hela ndio, ila heshima ndio kila kitu. Unaanza kujiheshimu mwenyewe, unawaheshimu na wengine, na wewe watakuheshimu.
Kama mtazamo wako ndio huu, basi hakuna noma. And btw, Chalii ndio kwanza ka-join NFL juzi, huo u-star mkubwa katoa wapi?Snoop hajawahi kuwa na heshima na hajali,ila unamuona vile ana familia na watoto na wajukuu na wanamuheshimu tu na uchizi wake.ana kijana wake CBroadus ni staa Mkubwa tu NFL.
Na anaingiza hela chafu sio kwa muziki tena kuna deal kibao anapiga ambazo zinamuingizia hela nzuri tu.
Inawezekana lakini coz mshikaji ana cases kibao, lakini haziendagi popote. With all those cases The Industry inatakiwa kua isha mdrop lakini bado inamlinda.
Mimi nilimuona snitch mkubwa alivyoenda kubatizwa na Bunny Wailer kua Rastafarian..Ata mwaka haukukata jamaa akaanza ku violate all the beliefs of Rastafarianism na ku u denounce..kitendo kilicho mkasirisha sana Bunny!
Snoop nilimkubali sana enzi za Doggy Style, Murder was the Case, Hivi bado yuko kwenye game?
Yeah ,Nakumbuka.It was too bad for him.
Me nasikia mambo ya roast Alafu jana ilikuwa Pasaka sasa sielewi ni roast nazojua mimi au?
La kwanza, la pili huyo snopy unayemzungumzia ni yupi sababu unaonekana kama mpo majirani sana.
Msaada tafadhali!
A man, and rapper who's been in the game 4 15yrs+, still ------ 4 attention, and that is normal?ile ilikuwa ni attention stunt,now he is gettin all invitations in all roasts....imagine alimroast hadi donald trump alongside larry king!!!
Ungemuacha aendelee kubaki jikoni Mkubwa, hizi story za kiume hata asipoelewa ni sawa.roast=kikaangoni.
Me nasikia mambo ya roast Alafu jana ilikuwa Pasaka sasa sielewi ni roast nazojua mimi au?
La kwanza, la pili huyo snopy unayemzungumzia ni yupi sababu unaonekana kama mpo majirani sana.
Msaada tafadhali!
for me snoop is the purest hiphop head alive representing west side to the fullest..album aliyozingua ni tha dogfather,nafikiri alikuwa chini ya no limit back then.
Snoop hajawahi kuwa na heshima
Huyo hajawahi hata kusikia kuna Kitabu kama hicho.
punga hawezi kuwa hiphop artist
Ajabu utakuta Sway na wenzake wanamjadili kwenye lists zao za hottest emcees kwenye game ya leo. Noma sana
Ndio maana ake arif, niliwahi kuandika kuhusu hii mambo ila haikueleweka, nikavunga. Hip-hop is for the independent minds, Si watu wa kubebwa bebwa tu, kwa bahati mbaya wengi sana wanaofuatilia hii game wana akili za kushikiwa. Tunajaribu kuwashtua taratibusiku zote mainstream inawalisha watu garbages...wanafanikiwa sasa kuwaaminisha watu kuwa ushoga na hiphop ni sawa tu..mwisho wa siku vijana wanataman kuvaa kike na kupigwa mipini
ila kaka ukinambia doggy anabebwa mi sikubali,style ya dogfatha ipo tight na lyrics zake ni dope.Ndio maana ake arif, niliwahi kuandika kuhusu hii mambo ila haikueleweka, nikavunga. Hip-hop is for the independent minds, Si watu wa kubebwa bebwa tu, kwa bahati mbaya wengi sana wanaofuatilia hii game wana akili za kushikiwa. Tunajaribu kuwashtua taratibu
Hapana sijasema Snoop anabebwa, style yake na mistari yake ilikuwa babkubwa kipindi hicho. Siku hizi hajielewi ki-ujumla, yupo desperate kubaki relevant, ndio maana anafanya chochote. Nasimama na West Coast, so sina chuki yoyote dhidi ya Tha Dogg-father, naelezea tu masikitiko yangu.ila kaka ukinambia doggy anabebwa mi sikubali,style ya dogfatha ipo tight na lyrics zake ni dope.