Kila kitu kwenye hiyo ngoma ni freakin' cliche, na verse ya Snoop ni moja ya verse mbovu kabisa katika historia ya rap. Ila kama uko chini ya miaka 15, na hufatilii rap, then nakuelewa ukisema hivyo ulivyosema.Snoop Dogg kwenye ngoma ya wigle wigle na Jason derula yaani ni bustani ya sukari guru yaani ukicheki ukiwa juu ya wider yaaani ni sana tuuuu bofya hapo u tube unitafute hapa .
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki anaofanya. Last time naskiliza ngoma zake alikuwa ana-spell tu jina lake almost kila ngoma. Mtu mzima anazinguana na ma-dame siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, Gz never do that, matter-fact, Men shouldn't do that.
Jana nime-chill kitaa nikakutana na The Roast of JB, Comedy Central. Snoop alikuwa mmoja wa Roasters, kaharibu kinoma. Kevin Hart alimchana ki-utani ila alimaanisha sana tu, Snoop ni mtu mzima sana kufanya anayofanya saivi. Too much weed makes you stupid arif.
Btw, nilikuwa sijui kama Rappers nao wana-roast watu siku hizi.
Snoop hajawahi kuwa na heshima na hajali,ila unamuona vile ana familia na watoto na wajukuu na wanamuheshimu tu na uchizi wake.ana kijana wake CBroadus ni staa Mkubwa tu NFL.
Na anaingiza hela chafu sio kwa muziki tena kuna deal kibao anapiga ambazo zinamuingizia hela nzuri tu.
Kama mtazamo wako ndio huu, basi hakuna noma. And btw, Chalii ndio kwanza ka-join NFL juzi, huo u-star mkubwa katoa wapi?
kijana ndio kwanza kajiunga college,NFL Kaanza lini?....chekini vizuri source za info zenu...
Hip-hop ni muziki wa uhalisia zaidi, na kuna mapenzi pia ndani yake. Sijasema chochote kuhusu ugumu au ulaini wa verse ya Snoop, nachosema ni moja ya verses za kipuuzi nilizowahi kuskiliza.Hip hop ni mziki mgumu na mistari ya kigumu ila aliyemshika ni mtoto wa mama na pengine alimwambia asikaze sana mistari ili maudhui ya ngoma yenyewe ifananie na hizo sukari guru ila ukifuatilia Dogg ni mgumu sana tusimhukumu kivile .