Snoop dogg aokoka, hatimaye amehamia katika Gospel

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Usishangae kukuta mtu kama wiz khalifa, snoop dogg, akina lil Wayne ma king katika kupuliza weed aka moshi au jani kitu cha AR wapo ktk kiti cha enzi mbinguni huku watu wema na walokole waliotukuka ukawakuta [emoji91] [emoji91] [emoji91]

https://www.timeslive.co.za/tshisa...ah-snoop-dogg-tops-charts-with-gospel-album/
Legend Bwana snoop kajitahidi na album yake ya Gospel [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nimeisikia nyimbo yake moja redioni nimeielewa...
Ukipata nafasi itafute usikie the jio mpya wa simba.
 
Reactions: PNC
Karibu sana kwenye ulimwengu wa kuokoka.

Ni muda sasa wa Rse Muhando kwenda kufanya kolabo naye la wimbo.
 
Sielewi kwann mabii tito alipelekwa mirembe TZ bhana
 
Asifanya kama Mase, alitangaza kuokoka baadae akarudi kwenye gemu.

Hata hivyo amefanya jambo jema mzee wa [emoji445] wiggle wiggle[emoji445] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
vipi jani ameacha maana ana chumba special kwa ajili ya kupiga jani
 
Anatapatapa tu mara alikuwa snoop Lion akawa mwimba raggae mara ameokoka akitoka hapo ataanza kuimba mziki wa country gemu gumu
 
Ile biashara ya bangi aliyoitangaza juzi kati ameiacha?
 
Anatapatapa tu mara alikuwa snoop Lion akawa mwimba raggae mara ameokoka akitoka hapo ataanza kuimba mziki wa country gemu gumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] time will tell
 
Asifanya kama Mase, alitangaza kuokoka baadae akarudi kwenye gemu.

Hata hivyo amefanya jambo jema mzee wa [emoji445] wiggle wiggle[emoji445] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Game gumu
 
Ile biashara ya bangi aliyoitangaza juzi kati ameiacha?
Haha ile weed yake no shida, sidhani kama kaacha... Btw hivvi weed kwenye vvitabu vitakatifu wanalingumziaje? [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…