Snoop Dogg kuwa Bosi mpya wa Twitter?

Snoop Dogg kuwa Bosi mpya wa Twitter?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Elon Musk kasema kuanzia Sasa maamuzi makubwa ya Twitter yataamuliwa na wanatwita wenyewe.

Ambapo wamuomba kuachia ngazi na katika hali ya kushangaza mpaka Sasa mida hii watu milioni 8 wamemtaka rapa Snoop kuingoza kampuni hiyo kubwa.

Bila shaka boss Mello analiona hili suala.

FB_IMG_16715512333093440.jpg
 
Snoop ana hela gani kuendesha twitter? Labda awe mkurugenzi muajiriwa chini ya ellon
 
Retweets likes na comment. Zinaonyesha, post ni bariki kwa snoop. Nae kajifurahisha tu
 
Back
Top Bottom