Snoop Doggs Aweka Tatoo Ya Kumbukumbu Kwa Ajili Ya Hasimu Wake Mkubwa Nate Dogg!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299

"All Doggs go to Heaven" ("Mbwa wote watakwenda peponi") kweli hawa jamaa walikua wanapendana sana!
 
hasimu wako huwezxi kuweka kumbukumbu yake bwana nna mashaka na huo uhasimu wao.
 
Unajua niliposoma hii heading nilipatwa na fadhaa! Nijuavyo hawa jamaa ni walikuwa kama ndugu wa damu asa uhasimu waliuanza lini? kumbe alikuwa anamaanisha kinyume chake..................teh teh teh teh basi nami kuanzia leo wana JF ni mahasimu wangu .................teh teh teh teh teh teh teh
 
Mbona unatuchanganya kaka, they were friends or enemies? enemies cant do what Snoop did.
 
Yaani Ndallo wewe ulivochanganya! naona kiswahili kinakupa shida sana ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…