Snura: Hii ndio maana ya neno chura, watu walitafsiri vibaya

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii Snura Mushi amesema neno chura sio kama linavyotafsiriwa sasa hivi ambapo watu wanamaanisha ni makalio ya mwanamke, amesema chura linamaanisha mwanamke anayetangatanga kubadilisha wanaume kwa sababu haridhishwi na mwanaume aliyenaye
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo anazungumzia chura part 2
Mwanamke chura tena chura haswa sio flat screen
 
Sasa na sisi tumekuja na maana yetu, chura ni ule mkao huku wanatingisha mackalio yao.
 
Kweli snura .ww c mtu wa mchezo mchezo .cc tulishaonaga chura hasiliaa huyu wa ss fekii nasizani km itapokelewa na raia kwa ukubwa ule wa chura org
 
Chura wetu ss tunamjua ... huyo anaekuja nae ss hv anamtambua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…