Snura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu!

Snura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la kujiongezea mashabiki……


Tazama ushuhuda wa picha hapo chini….
 
Ana uhuru wake wa kila juu ya maisha yake.Nao se deixa para amanha o que q devo faser hoje.mareno wanasema .
 
Ushirikina ukizidi sana unakuwa mchawi, kumbe wasanii ndo zenu , duh kazi mnayo mwaka huu, Leo sina maneno mengi, picha imeongea zaidi , mwanamuziki maarufu wa nyimbo za mduara, snura mushi afumwa live akifanya yake kwa sangoma , hii ni live sio sinema wala tamthilia. Picha ya pembeni akijifunika kukwepa camera ya Gossip cop paparazzi....
 
Wanatutafuta tuwafollow tu,wala hakuna uhalisia.
Mtu kakaa pozi la kupigwa picha kabisa halafu tunasema kafumwa!

"Nlikuwepo":bolt:
 
Usiri siku zote ndio sifa ya m/kienyeji.sasa huyo alikwenda na mpigapicha wake au sangoma anakamera? Wasanii wa kibongo sana sana kazi zao nitasikiliza kwenye daladala na movi kwenye mabasi ya mikoan.Bora hata kununua condom
 
ondoa neno "mkongwe' labda litumike kama lilivyo lakini lisimaanishe "legend"..kikongwe lingefaa
 
hiyo ni kawaida yao hata Diamond nae ana mganga!
 
Back
Top Bottom