Snura"Sitegemei Waganga Kupata Mafanikio Makalio Yangu Asset Tosha"

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetesa na staili ya Mauno anapokuwa jukwaani “Snura Mushi aka ‘Snura’ siku za hivi karibuni akihojiwa na mwandishi wetu mwanadadahuyo amefunguka na kusema kuwa anafanya kazi zake kwa kujituma na hajiusishi na ushirikina hata kidogo ili kupata mafanikio kwani hadhani kama vina faida katika tasnia ya muziki na wala hajawahi kwenda kwa mganga wa jadi kufanya ushirikina ,Akasema anajiamini as umbo lake ni asset tosha katika fani yake mpya ya mziki

Kwa mujibu wa Snura mwenyewe, Wasanii wenzake na watu mbalimbali wanaotumia ushirikina katika kazi zao hawana uwezo na wanakosa ubunifu kwani watanzania wengi hawawezi kumpokea mtu kwa sababu ya ushirikina hata kama kazi zake ni mbaya .
 
Ningependa sana kuona dance off kati ya Snura na Shilole

 
Last edited by a moderator:
Ametokea wapi kwani anafanya mziki au anatangaza makalio kweli ujinga huu wa kufikiria makalio ndiyo kila kitu hautokwisha jamani makalio ni sehemu ya mwili ndo maana hata wanaume wanayo tu lete hoja ya msingi kuhusu kazi si kujinadi makalio nini bana.
 
Makalio? inamaana na yeye anafanya?
 
Alivyojichububuuuuua...mchaga gani huyu analingishia mauno.?..hawana lolote hawa biashara matangazo.ila sio siri dada nimekushusha thamani baada ya kuona hiyo ngozi kwanini lakiiini...we mzuri tu
 
Kama namuona vile 0713.. akiwa anaitoa
 
Du!
Kama yangu.
Ngoja nami nikafungue bendi yangu ya Staili yangu ya Mauno.

madame_B ukiwa huku naona u mstaarabu sana tofauti kabisa na kwenye JLW
kuleeeeeee.......
chini.....
i can see you are dancing according to the music!
 
Last edited by a moderator:

halafu tukimuomba 0713.. anakuwa mkali sijui kwanini..
 
madame_B ukiwa huku naona u mstaarabu sana tofauti kabisa na kwenye JLW
kuleeeeeee.......
chini.....
i can see you are dancing according to the music!

utakufa bure mkuu jitahidi kubalika kama kinyonga..
 
Last edited by a moderator:
madame_B ukiwa huku naona u mstaarabu sana tofauti kabisa na kwenye JLW
kuleeeeeee.......
chini.....
i can see you are dancing according to the music!

Tatizo sio ustaarabu.
Tatizo ni kwamba Nikiwa jukwaa hili naandika huku nimevaa nguo, tofauti na ninapokuwa kule JLW Kwani kule huwa naandika nikiwa Uchi.
Umepata jibu e.
 
Last edited by a moderator:
We nawe acha mbwembwe.
Hujioni hapo au we njoo tufungue bendi yetu; Bambataa Music Band.
mimi nipo pasi tu hapa cha kukalia tu hiki
niazime basi nioshee mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…