Snura vs shilole

Snura vs shilole

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wacheza filamu bongo ambao pia wamejikita kweny muziki wa mduara yaani snura mushi na shilole,wameonekana kufanya vizuri pia kwenye anga la muziki,wakat shilole katoa single yake ya JANAUME DADA na NYUMBA ZA KUPANGA LAWAMA,snura nae akaja na kibao chake cha SHOGA AKE MAMA ambao alimshirikisha zilipendwa wake wema sepetu japokuw haikufanikiw kiivyo mwanadada huy hakukata tamaa akaj na nyimbo yake mpya amba yo ndo habar ya mijini kwa sasa inaitwa MAJANGA,je kati ya hawa wanadada ni nani ambye anaonekan kumfunika mwenzie kwa nyimbo na kumilik jukwaa?,
 
huku sio pande zangu weka na picha tuangalie hata shep zao inaweza kutuvutia
 
Kuimba sijui nani zaidi,wote naona wa kawaida.Ila kwa upande wa jukwaani ayayayayaaaa huyo mtoto Snura ana laana,anakata mauno ni balaa dooh!Shilole hamuwez Snura jukwaani,labda kwa umalaya wanaweza wakatoka ngoma droo
 
Back
Top Bottom