Wacheza filamu bongo ambao pia wamejikita kweny muziki wa mduara yaani snura mushi na shilole,wameonekana kufanya vizuri pia kwenye anga la muziki,wakat shilole katoa single yake ya JANAUME DADA na NYUMBA ZA KUPANGA LAWAMA,snura nae akaja na kibao chake cha SHOGA AKE MAMA ambao alimshirikisha zilipendwa wake wema sepetu japokuw haikufanikiw kiivyo mwanadada huy hakukata tamaa akaj na nyimbo yake mpya amba yo ndo habar ya mijini kwa sasa inaitwa MAJANGA,je kati ya hawa wanadada ni nani ambye anaonekan kumfunika mwenzie kwa nyimbo na kumilik jukwaa?,