Snura wa Majanga na DJ wa Maisha Club sasa ni Shida

Snura wa Majanga na DJ wa Maisha Club sasa ni Shida

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Msanii Snura ajikuta akinasa kwa deeJay wa Club Maisha ya Mbeya ''Dvj Hunter'' [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]





Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha..!



Kwa mujibu wa

mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidi kufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!

Jamaa aliishia hapo akasema alikuwa anapita tu!
 
Mbona ni wapenzi kabla Snura hajaanza kuimba! Na jamaa alikuwa DJ hapa Dar walipofungua branch Mbeya ndiyo jamaa kahamia huko, ila alipotoa majanga uhusiano uliyumba sana, Sasa ndiyo kaamua kurudi njia kuu.
 
Mbona ni wapenzi kabla Snura hajaanza kuimba! Na jamaa alikuwa DJ hapa Dar walipofungua branch Mbeya ndiyo jamaa kahamia huko, ila alipotoa majanga uhusiano uliyumba sana, Sasa ndiyo kaamua kurudi njia kuu.

Ata kama ni wapenzi mambo ya chumban yabaki kuwa siri
 
Utandawazi na mambo yake,we need to be careful.Lakini lengo la teknolojia ni kurahisisha mambo lakini sisi binadamu wenye vichwa vya Panzi ndio tatizo.
 
ngoja yule msukuma wa bariadi ambaye yupo pale bamaga aipromote hii
 
Ngassa yeye kidebe tuu anahela yakumiliki kile kiuno?

Ngassa Yuko vizuri sana! Ila yeye onja onja tu! Kama mpira aliochukua last week baada ya kufunfa hat trick alimpelekea Wema
 
jamaa amegongaa sana watoto wa chuo cha TIA na Mzumbe ya Mbeya! Hatumuamin maeneo ya huku!
 
Back
Top Bottom